Inawezekana kupata mkopo Benki kwa kutumia Offer ya kiwanja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana kupata mkopo Benki kwa kutumia Offer ya kiwanja?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by thereitis, Mar 29, 2011.

 1. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamani wanajamii naomba kueleweshwa kama kuna uwezekano wa kutumia offer ya kiwanja kama dhamana ya kukopa fedha bank. Je utaratibu ukoje?


  Natanguliza shukrani?
   
 2. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Haiwezekani!
   
 3. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Duh! man hiyo haiwezekani kwa sababu kuu moja hapo hakuna security. Benki wao wanachoitaji ni kuhakisha kwamba hawapotezi hata senti yao hata ukifa baada ya kukopa kwao. Na pia kiwanja baado sio chako na kama sio chako definitely huna document za mali isio hamishika. Hapo hakuna dhamana yenye jina lako.
  May be the best option is lazima kuwe na understanding kati yako na mwenye kiwanja ambapo utatumia document za mwenye kiwanja na pia lazima atakuandikia barua kuonyesha kwamba amekubali kiwanja chake kiwe dhamana benki.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Hajasema kama offer haipo kwa jina lake
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwa offer hupati mkopo,kwani hiyo ni document inajieleza kuwa ni Offer ya kupata kiwanja,ukishaproceed na kulipia gharama stahili,ndo unapewa hati ya kukodishwa kiwanja na jamhuri for 33yrs or whatever time
  hapo huna jinsi malizia kulipa upate hati then uanze mbinu za kupata mkopo
   
 6. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu kwa ushauri wako. Nitajitahidi kufuatilia haki miliki ili nipate sifa za kukopesheka
   
 7. N

  NoLimit Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata ukiwa na hati, kupata mkopo inakua vigumu mpaka paendelezwe. Logic ya mabenki ni kua ardhi ni mali ya serikali ukiwa una hati unapewa "right of occupancy" kwa muda wa 33yrs, maana yake ni serikali imekukodisha ile ardhi kwa muda huo. Ni rahisi zaidi ukiweka hata kabanda.
   
 8. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nenda Benki ya Wanawake TWB pale tawi lao la Mkwepu. Wao wanapokea offer ya Kiwanja kama dhamana ya Mkopo. ila inabidi uwe umeshafungua akaunti nao. Pia kuna organisation iko Mbezi na Sinza inaitwa BRAC. Nayo inapokea offer letter.
   
 9. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Inategemea offer yako ni ya muda gani? Sheria ya ardhi inasema kuwa ofa ikikaa zaidi ya mwaka mmoja automatically inabadilika na kuwa hati. Tafuta mwanasheria akueleze vizuri hiki kifungu.
   
Loading...