Noti mpya(tshs) kwenye atm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti mpya(tshs) kwenye atm

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rugas, Apr 5, 2011.

 1. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wakuu!
  Binafsi natumia atm za Umoja,na NBC,,,Mwenzi wangu anatumia CRDB na NMB....Katika ATM zote hizo hatujawahi kukutana na noti mpya!
  Nauliza hivi ni kweli noti mpya hazipatikani kwenye ATM mashines? Na tatizo ni nini? AU hizi note haziko compatible na atm zetu......kuna nini hapo!
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kuna WIZI

  Kwani zile za zamani tuliambiwa muda wake wa mwisho kutumika ni lini?
   
 3. G

  Gathii Senior Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu!!
  uliyo nayo ni dhana tu na kwa bahati mbaya haiko sahihi,fedha mpya zinapatikana tu kwenye ATM kama kawaida..binafsi natumia CRDB na latest ni jana (tar 4/4/2011) nime-draw noti mpya toka kwenye ATM ya CRDB..waliokwambia wamekurupuka hoja yao haina mshiko.
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama kweli wewe ni mtumiaji wa mara kwa mara wa ATM...mbona zipo tu.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  pesa zilianza kutumika january mpaka leo mabenk hawazitumii kwenye ATM...mfano NBC, NMB, Exim, DTB ukitoa ambayo umeconfirm kwamba wanatoa...
  Je una weza kutuambia kwanini wamechelewa kuanza kuzitumia kwenye ATM wakati ukienda kaunta uwanakupa note mpya..ukishindwa kujibu basi wewe ndiyo umekurupuka na siyo mtoa mada....
   
 6. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu sijasema nimembiwa na mtua!Nimetoa practically kwa binafsi sijawahi kuzipata kwenye atm.ATM za umoja natumia zaidi ya mara 2 kwa wiki,na ni za benki tofauti tofauti,sijawahi kupata noti mpya! nilichotaka kujua ni km hii ni kwa wote au atm nyingine zinatoa.Na ni kwa nini ukiingia ndani unapewwa lakini kwenye atm hazipatikani?
   
 7. g

  guta Senior Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Baadhi ya ATM za exim na barkrays wanazo zinazotoa note mpya. ila kwa mujibu wa staff wa benk ni kwamba note mpya hazipatikani kutoka BOT. wakienda kuchukua wanapewa za zamani tu.
   
 8. G

  Gathii Senior Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaka!!
  alichosema mtoa mada ni kuwa noti mpya hazitolewi kwenye ATM machines na aka-cite mabenki mojawapo ikiwa CRDB,mimi na-draw noti mpya kila siku kwenye ATM za CRBD Ulitegemea nimwambie mtoa mada kitu ganu??kuwa kweli noti mpya hazipatikani kwenye ATM??amekurupuka tu hakuna lingine,noti mpya zinatolewa kama kawaida..
   
 9. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani, mkumbuke kuwa atm machine nyingi ni za zamani ndio maana noti mpya hazitoi! Benki nyingi zina atm machine outdated!
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Kwani hizo noti mpya zina thamani tofauti na noti za zamani au unatakaje
   
Loading...