Hivi kuna ruhusa ya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna ruhusa ya...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mbongopopo, Apr 2, 2011.

 1. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuuza vitu madukani kwa dollar tanzania? Na wanaruhusiwa na nani? Sasa shilingi inakufa au?
   
 2. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kama TRA wenyewe wana toza kodi kwa dollar inamaana serikali inalitambua vyema sana. May be wabunge wa Chadema watalivalia njuga hilo watafuta yote hayo. Yana mwisho, time will tell.
   
Loading...