Wizara Fedha, Nishati, Ofisi ya Raisi, Bunge Uchumi na Umaskini wa Tanzania Duni Sababu Zipi?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Nikitembea Tanzania na kusoma performance za uchumi, elimu, afya naona assets kila mahali. Tatizo lillilopo katika serikali ya kikwete na ccm tangu miaka nenda rudi ni incompetency na ubinafsi pekee sioni sababu zingine zozote. Tuangalia hapa chini hizi resources tulizonazo inashindikana vipi kwa government to lead by introducing strong policies?

baner1-4.jpg

image_1_TAN.jpg

images

UniversityofDaresSalaam.jpg

Tanzanian_Kids.JPG

maize.jpg

tanzania14-02_0.jpg

010.jpg


Tukifuatilia hizi resources kuanzia elimu ya watoto mpaka viwanda tunaona ccm wame-destroy na kujinufaisha wao wenyewe, leo hii ndulu, mkulo, ngereja na kikwete hawana majibu ila ufisadi. Watanzania hapo awali waliwapa uongozi ili kutatua matatizo ya nchi, Je mnafikiri leo hii mmekaa nyumba nzuri, magari ya serikali na kufanya deals kama dowans, haya ni mategemeo ya Watanzania?
The truth is without democratic reforms Tanzania we will remain in dark forever. No economic solutions without true democracy.
 
Back
Top Bottom