Diwani wa Chadema azuia magari ya kwenda kwa babu kutozwa ushuru Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa Chadema azuia magari ya kwenda kwa babu kutozwa ushuru Arusha

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mwan mpambanaji, Apr 2, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Leo asubuhi kwenye eneo la Kilombero,kata ya levolosi kulikuwa na kasheshe kubwa kati ya Diwani wa Levolosi kwa tiketi ya CHADEMA kamanda Nanyaro,na wakala wa kampuni ya KMPL aliyekuwa anatoza ushuru wa maegesho.
  Diwani huyu aliwakataza kutolipa maana ni kinyume cha sheria,na hakuna kampuni yeyote iliyopewa tenda ya kukusanya ushuru kwenye eneo hilo maana sio stendi bali ni kituo cha kuratibu magari yanayoenda kwa babu,na kitendo chochote cha kutoza kodi kitapandisha nauli za kwenda kwa babu zaidi,baya zaidi huyui wakala hajapitishwa rasmi na vikao vya baraza la madiwani,wakala akakataa ndipo diwani akaita polisi na wakala kupelekwa kituo kikuu cha polisi,nako huko OCD akakataa kuwaweka ndani ndipo huyu kamanda Nanyaro akamweleza DC na sasa hawa wakala wapo ndani.
   
 2. B

  Boca1 Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo ni neno
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  hao mawakala walizoea kufanya kazi "as usual" hyo ndo CDM..
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,safi sana watendaji kazi wapo kazini
   
 5. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamamdo Mdogo kabisa tumemkubali!
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  kodi zote tunazolipa kwenye mafuta bado wanaleta vi ushuru vya kijinga!safi sana diwani
   
 7. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Makamanda nawashukuru wote kimsingi nilikuwa niwajuze yaliyojiri ila naona mmepata habari yote,ni kweli huyu wakala alitoza ushuru kinyume cha utaratibu eti kwa kuwa tu yeye ni wakala wa kukusanya ushuru kituo kikuu cha mabasi,
  Nilimsihi kwa kistaarabu kuacha akakaidi hivyo nikaita polisi,akapelekwa kituo kikuu cha polisi.Kama ambavyo niliwahi kusema huko nyuma,kwangu mimi udiwani ni utumishi,na daima nitatetea maslahi ya watz bila hofu wala uoga
   
 8. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Hilo ni Bonge la Goli ... Hapo kwa mara ya kwanza nimeikubali Chadema
   
 9. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Komredi Nanyaro nimekukubali, hakuna kulala mpaka tunamtoa mkoloni mamboleo lazima Fisadi Kikwete na genge lake la wahuni wang'oke ufisadi uwe kikomo katika kuwanyanyasa watanzania
   
 10. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii nzuri.. huyo wakala alitafuta easy target ya kujipatia pesa bila kufuata taratibu.. alijua labda nako kilombelo ni standi kuu. Wizi mtupuuuu.
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Huyo wakala ni MWIZI! kazi nzuri mh diwani.
   
 12. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Well done Mheshimiwa....People's........
   
 13. wasaimon

  wasaimon R I P

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda tunakukubali na hivyo ndivyo inavyotakiwa kwani kama kapewa kibari cha kukusanya ushuru standi iweje aende sehemu ambayo haimuhusu. Lakini nikuulize juu ya hawa watoza ushuru hivi ni haki kutoza ushuru kwenye makazi ya watu kama Makao mapya na Levolosi?
   
 14. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Angekuwa diwani wa CCm angeshinikiza ushuru utozwe halafu baadaye mgawo uende kwenye kile chama cha kidumu fikra ah za nani vile aha basi hata chama chenyewe nimeshaanza kukisahau kwenye memory Q yangu
   
 15. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kuwa kiongozi ni kuhakikisha maisha yanakuwa nafuu kwa wale unaowaongoza na wewe umefanya wajibu wako,nasikia CDM Arusha maeneo waliowachagua wanakula matunda ya uongozi bora,maana siku moja mama mmoja alinieleza hata kusainiwa fomu zao zinahitaji sahihi na mihuri ya kata au mwenyekiti wa kijiji nyinyi mmeondoa malipo yote hili ni kweli? kama kweli mdumu milele maana walalahoi ndio walikuwa wanakamuliwa na viongozi wa CCM.
  kama kweli mmezamilia kuwakomboa watu wa chini basi nawatakia muendelee kuongozi mpaka mna kwenda kaburini.
  Pia hayo mazuri ambayo nimesikia kama ni kweli myatangaze ili watanzania tuelewe kazi yenu na manufaa ya nyinyi kuwa viongozi katika taifa letu
   
Loading...