Robo shilingi ya Tigo ni kweli?

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
Muda wa maongezi kuanzia mida ya saa kumi na moja jioni naona ni mfupi sana ukilinganisha na kabla ya hapo kwa salio lile lile.

Kwa vile sijapima na stopwatch sina uhakika wa kusema wanachakachua au la. Niwaulize wenzangu watumiao mtandao wa TIGO, hili tangazo lao la robo shilingi kwa sekunda masaa 24 baada ya dakika ya kwanza ni kweli?
 
Usanii kwenye haya makampuni ya mawasiliano huwa hauishi kabisa,mi binafsi nilishawahi kugombana nao sana baada ya kuwatolea uvivu pale Majani ya Chai,waliishia kunituliza kwa maneno ya ki-marketer.
 
Back
Top Bottom