Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Heshima wakuu! Naamini hapa ndani ya jf kuna kila utakacho! Naomba msaada kwa key za adobe audition 3.0.1 kwa aliye nazo nitafurahi sana! Na pia kama kuna mtu ana system nzima ya product zote za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mh. Raisi! Habari ya siku tele? Nimeona nikukumbushe, hivi zile ajira ulishatengeneza au bado tusubiri kidogo? UVCCM hawatakuuliza wala hawatakusaidia kuzungumzia kwa vijana wenzao ambao hawana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna beach ambayo ipo kigamboni si mbali sana na ferry , hivyo natafuta mtu ambaye kwa pamoja tutafungua Beach Night Club, restarant na mambo mengine mengine eneo hilo. Eneo hilo tayari lina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
An agreed takeover deal for a uranium explorer that nearly collapsed last week when Japans nuclear crisis escalated has been resurrected after the Australian-listed target accepted a 12 per cent...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TanzaniteOne Limited said it has unearthed the third-largest high quality gemstone ever mined in the decade that it has been operating. March 02, 2011 TanzaniteOne Limited said it has...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
THE International Monetary Fund (IMF) has advised the government to borrow only on reasonable terms and ensure repayment is consistent. This was said over the weekend by IMF Mission Chief for...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania government moves diamond sorting office home from London Tanzania has closed down the London offices of its diamond sorting firm and transferred its operations to Dar es Salaam. March...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada wa bei ya 22ct gold Tanzania, Per gram and ounce. Thank you in advance!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wana JF nadhani ni wakati wa kufanya juhudi na kuchanga ili tumrudishie fisadi RA ili atuachie gazeti la RAI ..........ili litakuwa tukio la kulitoa gazeti kifungoni kwani wote tunajua mchango wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama tipa ingekuwa infanyakz hv unafkiri mafuta yange uzwa tsh 2000/lita au mi ndo cjui kzi ya tipa nin...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Am experienced professional DJ who is looking for a person or company that wants to invest in entertainment Industry.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
We offer latest technology for On–site wastewater management using anaerobic digester Wastewater Solution deals with the management of wastewater from either domestic or none chemical...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli kwamba waajiri wanapashwa kuongeza mishahara ya wafanyakazi asilimia sawasawa na inflation rate? Kwa nini? GTs nisaidieni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nashangazwa na uongozi wa Tanzania. Tatizo ni nini? Tuna Gas. Bei yake ni nafuu, gesi ni safi kimazinira, inapatikana kwa wingi, ni rahisi kusafirisha. Serikali inatakiwa kununua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia hoja na michango mbalimbali ya wadau katika vyombo vya habari, mitaani na hapa jamvini. Wengi wamemsifu Babu wa Loliondo kwa tiba "ya imani", lakini wengine wamedai...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wadau, Kwa huduma ya music na MC wa sherehe za Harusi, Send off, Kitchenpart nk. tuwasiline wadau. Pia tuna uzoefu wa kufanya promotion za bidhaa mbali mbali kutumia muziki na dancers. Na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TOKEA JUMAPILI NIMEPATA SHIDA YA KUTUMIA MODEM YANGU YA VODACOM ,KILA NIKIWEKA BANDLE WANAKATA HELA NA SIPATI MEGABITE HATA MOJA ,NIMEPIGA SIMU MARA NYINGI HUDUMA KWA JAMII WANANIAMBIA TUPE MUDA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
DAR ES SALAAM, TANZANIAThe Tanzania Shilling depreciation has reached an all time low since independence some 50 years ago, but the Bank of Tanzania (BoT) says it has no plans to intervene...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali inatarajia kuunda chombo cha kudhibiti riba za mikopo katika taasisi za fedha nchini ili kuwaondolea mzigo wananchi wa kutozwa riba kubwa. Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Fedha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na Radioactive zilizopatikana Taiwan kwenye maharage!!Yaliyoagizwa kutoka Japan Nidhahiri hivyo mionzi ya nyukilia itakuwa imesambaa sehemu nyingi za japan!Hivyo hata katika magari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom