Nini Inflation Rate ya Uchumi wa Tanzania?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Ni kweli kwamba waajiri wanapashwa kuongeza mishahara ya wafanyakazi asilimia sawasawa na inflation rate? Kwa nini?

GTs nisaidieni.
 
si kweli! ongezo la mshahara linategemea perfomance ya mtu binafsi na pia ya kampuni/shirika mtu analofanya kazi, kama ufanisi umekua mkubwa, biashara imepanuka then chance ya ongezeko kuwa kubwa inaongezeka, pia kama mtu amefanya kazi vizuri sana hata kama kiujumla kampuni haikufanya vizuri sana ongezeko laweza kuwa kubwa na ndio maana ongezezo la mishahara haliko flat accross individuals
 
ahsante.

hii ishu ya kuhusisha inflation rate na mshahara wa mfanyakazi nimeipata kwa mtu mwenye cheo cha HR. ndo sababu nikaamua kuileta jamvini ili nipate pa kuanzia kum-challenge.
 
Inflation rete ina maana gani? kama ulikuwa unalipwa TSH 1M na ilikuwa inaweza kununua vitu vitatu (3) mwaka jana. Na sasa Unalipwa kiasi kilekile TSH 1M na inaweza kununua vitu 2.5 basi ina maana pesa imeshuka thamani hivyo ongezeko lako ni kwasababu ya kushuka kwa thamani ya pesa kunako tukana na mfumuko wa bei. Hivyo kama inflation ni 4% mwaka huu ina maana kama usiko ongezewa mshahara kwa kiasi hicho nguvu ya pesa yako itakuwa imepungua kwa 4%.
 
Ni kweli kwamba waajiri wanapashwa kuongeza mishahara ya wafanyakazi asilimia sawasawa na inflation rate? Kwa nini?

GTs nisaidieni.
Very true mtoa hoja. Lakini kwa bahati mbaya uchumi wetu hauliwezi hili siku tukifika hapo uchumi utakuwa taabani zaidi. Zipo nchi Ulaya wana adjust payment hasa kima cha chini kutokana na inflation. Kwa nchi kama zetu kinachotakiwa kufanyika ni kucurb inflation.
 
Back
Top Bottom