Utatuzi wa Tatizo la Umeme ni Raisi kwa Tanzania. Nunua Generators | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utatuzi wa Tatizo la Umeme ni Raisi kwa Tanzania. Nunua Generators

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kamundu, Mar 22, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Mimi nashangazwa na uongozi wa Tanzania. Tatizo ni nini?

  Tuna Gas. Bei yake ni nafuu, gesi ni safi kimazinira, inapatikana kwa wingi, ni rahisi kusafirisha.

  Serikali inatakiwa kununua Generators za kutumia Gas na tatizo la umeme litaisha. Kama mmeshidwa kununua Generators za Dowans basi nunueni Generator zenu. Kama Tatizo ni pesa basi tuelezeni!!!!.

  Kupiga doma na kuweka kamati nenda rudi na hakuna hata mtu mmoja anayefanya uamuzi kwa manufaa ya nchi.

  Tanzania haijui nani anafanya uamuzi kama huu Raisi, Waziri Mkuu, Bunge, Tanesco au wizara ya nishati???.

  Mimi natoa wito wa serikali kununua Generators moja kwa moja kutoka kiwandani kama Simens, GE, Toshiba, na Honeywell. Bei kila mtu ataiona kwa uwazi, watu wanaweza kupiga simu kuulizia na hakuna sababu ya Tender za kijinga zinazoleta skendo zisizo za maana kwa nchi. Kampuni zinazotengeneza Generators zinajulikana basi ni kwa nini tutumie Tender sysytem. Hili ni swala ambalo Tanzania inaweza kulitatua haraka tu kama kuna uongozi mzuri.
   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280

  Aliyekuambie gesi ya Tanzania ni rahisi nani?
  Kachunguze tena bei, Utajua!
   
 3. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kamundu, procurement ni fani ya watu na inasheria zake. Yaani unapiga simu tu kama unanunua TV nyumbani kwako? Nchi haiendeshwi hivyo.
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Huku ni kujaribu kula rushwa kuweka watu wa kati wakati tunajua kampuni zinazotengeneza Generators. serikali ifanye makadirio na wanunue Generators kutoka viwandani, hii itamaliza maneno ya rushwa na itasaidia nchi. Kama hatutaweza kubadilika jinsi tunavyofanya shighuli hatuwezi kuendelea.

  Kwa yule mdau anayesema Gas si bei rahisi: Hii inatokana na wewe kufikiri Gas unayonunua ya kutumia nyumbani inatoka Tanzania! si kweli Gas ya nyumbani si ya Tanzania kama unavyofikiria kwasababu inahitaji kuwekwa kwenye mazinga ya kuweza kutumiwa nyumbani na Tanzania hawana kiwanda cha hivyo. Gas inayotumika kwenye viwanda inatoka moja kwa moja Tanesco au hao jamaa wa songas na ni ya biashara ni tofauti na matank unayotumia nyumbani. Gas ya biashara ni rahisi sana ukilinganisha na mafuta ya petrol na inapatikana kwa wingi Tanzania. Mimi nipo hapa Houston na tuna kampuni zote za Gas na Mafuta hapa hivyo haya mambo nayaona kila siku hapa.
   
Loading...