Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Back in the 70's, Radio Tanzania (RTD) used to run a propaganda piece, usually following the news and 'Mazungumzo Baada ya Habari' that went: "Ubepari ni unyama; Ujamaa ni utu". For added...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania BOP surplus $321.5 mln in year to Jan Sat Apr 2, 2011 9:43am GMT Tanzania's balance of payments recorded a surplus of $321.5 million in the year to January, down from a surplus of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salute kwenu wanaJF wote. Jamani wenye magari ya kusafirisha abiria changamkieni nafasi hii usafiri wa kupeleka watu Loliondo toka serengeti kwenda kwa babu na hii ni baada ya serikali kuzuia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma , kimeingia kwenye malumbano kuhusu mamilioni ya fedha za mradi wa hosteli ya CCM zinazodaiwa kutafunwa na baadhi ya vigogo wa chama hicho mkoani hapa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Suala la kuchakachua mafuta ni baya sana, tena ni uuwaji. Ni simu inayotuua kwa kufanya kazi taratibu. Kwanza mafuta bei juu. Halafu yamechakachuliwa. Hii maana yake inaua magari. Sina haja...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Akitembelea Wizara ya Viwanda na biashara,JK ameendelea kutoa kauli zake zenye mzaha na kutia hasira aliposema ati hajui kwanini Tanzania yenye maliasili mbalimbali zenye kufaha kutumika kama...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Polisi yahojiwa kutengeneza helicopta kwa Sh 1.2 bn Exuper Kachenje WABUNGE wa Kamati ya Hesabu za Serikali, wamehoji matengenezo ya helkopta moja ya jeshi la Polisi kugharimu zaidi ya Sh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Financial planning or budget making is often easier said than done. This generally involves analyzing your current financial position and predicting short term and long term needs. Putting aside...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Tanzania lost USD 308m as tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to bhartel. Source TRA
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau.. perfumes,saa na mawani kwa bei za jumla . Aina yeyote ya bidhaa za makundi hayo zipo..order ndogo pieces 50 bei ya piece moja haizidi $ 20..order ndogo ya chini pieces 50 hatupokei...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 6000sqm kinauzwa maeneo ya Wazo Hill karibu kabisa na shule ya Wazo Hill High School. Kina Offer letter. Ni eneo linalofaa kujenga shule, business complex, nk. Kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taking a personal loan to finance an investment or an emergency is an issue that most of us face. However, your financial health and money management skills will determine whether this loan will...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kwanini ukienda Police station shida yako au tatizo linageuka kuwa mradi kwa Police officer husika?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina Jaguar S-type 4.0 2001 Model. Gari hii ni left hand na inatoka USA (American Quality). Ina Kila kitu na ni Silver na Black leather ndani. Imefika 100k miles juzi tu Je naweza kuiuza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Dear our esteemed JF members; A newly established small company is looking for a person specialized in Website and Company Logos designing to create one for the company. The company is looking...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii, mwenye details na interest rate ya mkopo wa Stanbic anisaidie pls. Ni mkopo wa kawaida around 50 Ml. Nitanguliza shukrani!!
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wednesday, 30 March 2011 22:42 The Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, said in Dar es Salaam yesterday that while the economy grows at the rate of 6 per cent, the human population growth is at...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesoma leo Mwanahalisi la jana na miongoni mwa habari zake ni zinazohusiana na madini. Kichwa kimoja kikinadi "Dhahabu ya damu Bulyanhulu". Kingine kikinadi "Usiri hatari migodini". Hizi habari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom