Wataokuwa tayari kuchanga ili tulinunue gazeti la rai

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
wana JF nadhani ni wakati wa kufanya juhudi na kuchanga ili tumrudishie fisadi RA ili atuachie gazeti la RAI ..........ili litakuwa tukio la kulitoa gazeti kifungoni kwani wote tunajua mchango wa RAI la la zamani sasa mbona tumekubali kuliacha kwenye kifungo?
 
Raia Mwema na Mwanahalisi zinatutosha. RAI ilishakuwa nuksi, labda kama nikulinunua kisha tulizike.
 
Raia Mwema na Mwanahalisi zinatutosha. RAI ilishakuwa nuksi, labda kama nikulinunua kisha tulizike.

kulizika si itakuwa noma au tuliweke kwenye jumba la makumbusho? mimi binafsi lazima nitalikomboa kwa namna yeyote ikiwezekana kwenye njia za mikopo lakini lazima RAI likombolewe
 
RAI LA NINI??TUMNA MWANANCHI LA KILA SIKU,TANZANIA DAIMA,RAIA MWEMA NA MWANAHALISI wewe BADO UNASOMAGA RAI????
 
RAI LA NINI??TUMNA MWANANCHI LA KILA SIKU,TANZANIA DAIMA,RAIA MWEMA NA MWANAHALISI wewe BADO UNASOMAGA RAI????

kuwa mwanaharakati haina maana ya kuwa kutosoma magazeti yenye mtazamo tofauti...cha msingi ni kuwa ukiwa na nafasi basi soma magazeti na vitabu kadri uwezavyo na ikibidi kuna gazeti la kuzimu la UHURU nalo soma.............................

lakini mpango wa kulinunua RAI bado hupo pale pale .....wajumbe walio tayari tuwasiliane
 
unataka kununua rai kwa ajili ya biashara au umaarufu??kwa nini msianzishe gazeti kama mmamachungu na hiyo industry au unataka kununua jina??

SIKUBALIANI NA WEWE KABISA ETI KAMA MWANAHARAKATI LAZIMA ASOME KILA KITU??UNAJIDANGANYA NA UTAKUWA CHIZI MWANAHARAKATI NA INTELECTUAL YEYOTE ANASIOMA VITU SAHIHI SIO TAKATAKA UKISOMA UPUUZI UNAONGEZA UPUUZI KWENYE UBONGO WAKO TENA NI KAMA UNAIDHALILISHA AKILI YAKO KWA KUIPATIA MITAZAMO HAFIFU ILHALI MITAZMO CHANYA IPO
 
lakini halisomeki kwa sababu ya mmiliki wake ? au sababu ya wahariri wake? na unadhani kuliacha kifungoni ni sahihi au ni kutothamini mchango wake?
 
Tatizo linaweza kuwa contents zake ambazo zina acha maswali mengi kwa msomaji makini.
 
Back
Top Bottom