JK: Ajira Milioni Moja Ziko Wapi? Au Bado?

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
Mh. Raisi! Habari ya siku tele? Nimeona nikukumbushe, hivi zile ajira ulishatengeneza au bado tusubiri kidogo? UVCCM hawatakuuliza wala hawatakusaidia kuzungumzia kwa vijana wenzao ambao hawana ajira. Kwao ni rahisi kushutumu na kulalamikia mambo kuongelewa nje ya vikao. Ni watu wajinga sana. Usiwasikilize kwani matatizo ya vijana hayawahusu na hayawakeri. Ukipata nafasi tujulishe tufanyeje, kama tuendelee kusubiri au tuangalie ustaarabu mwingine tuache kukuchosha. Tunajua una mambo mengi Mheshimiwa Rais.
 
Diwani;

Hili ni jukwaa la wawekezaji. Hoja yako imekaa kisiasa zaidi, hapa tumejikita zaidi kwenye mambo ya uchumi na maendeleo yasiyo ya kiitikadi.

Ni ushauri tu.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom