Inaweza kufufuka tippa

Inaweza kufufuka tippa

ndetichia

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,769
Reaction score
6,589
kama tipa ingekuwa infanyakz hv unafkiri mafuta yange uzwa tsh 2000/lita au mi ndo cjui kzi ya tipa nin...
 
Tiper-kiwanda cha kusafisha mafuta Ghafi(crude oil) na kupata diezel,petroli,mafuta taa,mafuta ya viwanda(fuel oil,industrial diezel) na gesi ya kupikia kilichopo kigamboni ambacho kilikuwa kinaendeshwa kwa ubia serikali/Agip hakijafanya kazi nadhani zaidi ya miaka 30 na tathmini iliofanywa miaka ya 90 imeonesha hakiwezi tena kufanya kazi kwakuwa kilitelekezwa na asilimia kubwa ya mitambo imeharibika na kuliwa na kutu.
Ukisema Tiper bila maelezo vijana wengi wa umri wa awamu za Mkapa/Kikwete hawawezi kukuelewa au kudhani unaongelea magari ya kubeba mchanga.
 
TIPER ndio jina sahihi, yaani Tanzania and Italy Petroleum Refinery kama sijakosea.
 
thnx guyz na je thaman yakurudisha hyo mitambo il2weze kusolve hi so ya mafuta inawezekana au ndo kina anko nao wale-wale kdogo.,
 
Back
Top Bottom