Natafuta Mwekezaji ili tufungue Beach night club Kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mwekezaji ili tufungue Beach night club Kigamboni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by B.O.G, Mar 22, 2011.

 1. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna beach ambayo ipo kigamboni si mbali sana na ferry , hivyo natafuta mtu ambaye kwa pamoja tutafungua Beach Night Club, restarant na mambo mengine mengine eneo hilo. Eneo hilo tayari lina majengo ambayo yata takiwa kufanyiwa ukarabati mdogo na pia kuna parking kubwa tu ya kutosha.Tuna weza kuwasiliana kupitia kadidi123@yahoo.com
   
 2. D

  Dotori JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wazi zuri! Beach hii iko eneo lipi hapo Kigamboni? Je suala la Mji Mpya halitakuwa na athari?
   
 3. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama ile eneo ni lako na una hati ya umiliki si ni bora ukachukue mkopo Bank ili uweze kujenga hiyo club.
   
 4. babalao

  babalao Forum Spammer

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama una hati njoo tukupeleke Benki ukakope
   
Loading...