Vodacom kuna tatizo kubwa kwenye internet yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom kuna tatizo kubwa kwenye internet yenu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by AMARIDONG, Mar 23, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  TOKEA JUMAPILI NIMEPATA SHIDA YA KUTUMIA MODEM YANGU YA VODACOM ,KILA NIKIWEKA BANDLE WANAKATA HELA NA SIPATI MEGABITE HATA MOJA ,NIMEPIGA SIMU MARA NYINGI HUDUMA KWA JAMII WANANIAMBIA TUPE MUDA MPAKA LEO HALI NI HIYO HIYO

  kweli mmebweteka
   
 2. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ni kweli
  jaribu ku ping
   
 3. m

  matshs Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  njoo uchukue stick ya TTCl hapa usihofu kutumia stick zipo nyingi!! na huduma ni bora
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  aisee nafikiri leo wasiporekebisha nitahamia mtandao mwingine,wamenni kata hela bila huduma
   
Loading...