Natafuta nondo, flat bar, metal sheet, square pipes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nondo, flat bar, metal sheet, square pipes

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mutensa, May 30, 2011.

 1. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakubwa,
  Natafuta vifaa vilivyo kwenye kichwa cha tangazo hili kwa ajili ya matengenezo ya ma- gate. Hivi vitu vipo mtaani lakini natafuta unafuu wa bei. Kama unajua unavyo kwa bei nzuri ni- pm au kwa faida ya wengine unaweza kuweka namba yako hapa. Asante sana.
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Nenda pale tazara vetenary kila aina ya materials za aina hiyo utapa. Maduka yapo mengi sana eneo hilo hivyo mambo ya bei utapata palepale.

  Kazi njema!
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... a very friendly advice

  be very careful with building materials ..... go after quality and standards ... you may get a 2.5 millimeter mark (thickness ) metal sheet as 4 millimeter mark at the expense of cheapness

  cheap is always expensive

  thanks
   
Loading...