KAPIRIPIRI
Member
- May 24, 2011
- 31
- 9
Mimi ni mjasiliamali mwenye kutambuliwa na mamlaka husika nchini.Kuna investment ya haraka nataka kuifanya, Itagharimu milioni mbili, tayari nina milioni moja na nusu, nahitaji mtu wa kunikopa laki 5, itarejeshwa baada ya mwezi mmoja.Tutakubaliana juu ya riba na dhamana.Naomba maoni yenu au directives.Sitaki urasimu wa benk zetu hapa nchini.Tusaidiane jamani.