Kampuni ya Ukaguzi wa mahesabu na uhasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya Ukaguzi wa mahesabu na uhasibu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kaburunye, May 30, 2011.

 1. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wadau, kama kuna mtu anafahamu kampuni nzuri ya ukaguzi wa mahesabu na uhasibu inayomillikiwa na vijana wa kitanzania wanaoweza kufanya kazi kwa kiwango cha kimataifa naomba anipe contacts zao. Nataka kazi nzuri lakini kwa bei reasonable. Kampuni kubwa kama PwC, KPMG na nyinginezo zenye majina makubwa sizitaki. Nataka kampuni ya kibongo lakini inayoweza kufanya kazi kwa kiwango cha kimataifa. Kama partners wa kampuni wakiwa from big four firms itakuwa bomba zaidi.
   
Loading...