Best Business in BONGO !- Give ideas ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Best Business in BONGO !- Give ideas !

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Turabiturabi, May 29, 2011.

 1. T

  Turabiturabi Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dear Bongo business minded people :D !

  Can you suggest whats the best business to start as PART TIME with a capital of around $2000 to $3000 ?
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  good idea
   
 3. T

  Turabiturabi Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  - i was thinking stock market was a good investment, but unfortunately the returns are very low !

  - Savings/Fix account interest is also not very attractive.

  -Maybe there are businesses out-there, who need funds ? .. and give a good return ? ... plz sugget !
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mgahawa...kama wa lady jaydee..fungua mwanza...maenep ya kuanzia mabatini mpaka igoma...
   
 5. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Food and Agricultural related business ila kabla ya yote you need to do a thorough research in chosen business and you also need some knowledge/experience. Good luck wapo walioanza na mitaji midogo zaidi ya huo.
   
 6. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hapo tunazungumzia shilingi ngapi za kitanzania? 5,000,000/= hakuna mradi wenye akili uanweza anzishwa hapo. Labada kuendeleza mradi ulioanza tayari. Pale kwa Lady JD nafikiri umeamua kudharau but siyo pesa ndogo kama unavofikiri.
   
 7. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh jamani, business mara nyingi ni self iniatiative. Unatakiwa uwe na idea na utachotaka kufanya kisha unaanza kutafuta input. Wengine watakwambia nguo na kila mtu atakwambia anachofaham. Angalia eneo ulipo, angalia mahitaji na jitahidi kufikiri hata kuanzia kwakpo wewe mwenyewe huduma gani huwa unahitaji kisha haipo eneo husika au si bora na hivyo hulazimika kwenda mbali. Hapa unatakiwa uje na idea watu watakupa input. Maana idea inapatikana baada ya tathmini ya wateja. Mtu anakutajia mgahawa kumbe ni hitaji la watu wa sinza na si ubongo. Na wewe umeuliza Bongo. Mwingine atakutajia hitaji la Simanjiro.
   
Loading...