Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu kuna mtu yoyote ambae ana ideas katika mambo ya security systems(cctv,fire alarms,intruder systems,access control) ,nitashukuru nikipata mawazo yake kuhusu soko la hii sector hapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kupewa maelezo ya kina! Hivi inawezekana kupewa mkpo na tasisi za fedha kwa dhamana ya biashara ya salloon ya kunyoa il niongeze mtaji.?Najua mabenki wanataka dhamana ya nyumba ,kiwanja nk...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna tetesi kuwa kuna muunganiko wa makampuni haya... Mwenye data please...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, naomba kwe yeyote mwenye Budget ya Zanziba iliyosomwa jana Jumatano atuwekee hapa.Natanguliaza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Wapendwa naomba anaejua sehemu (Gerage au fundi) au jinsi ya kubadilisha a full time 4wd kuwa 2wd,manake full time 4wd inakula sana mafuta Thanks
0 Reactions
20 Replies
7K Views
mimi sijasoma biashara ila nataka sana kufanya biashara lakini nimeshindwa nifanye biashara ipi sina mtaji mkubwa ni kama one milion, nategemea eneo la biashara liwe MWANZA kwani mi ni mkazi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunakagua matatizo ya magari aina zote,european,asian and americans kwa kutumia diagnosis tool,tupo arusha oilcom sakina kwa mawasiliano piga number 0715 367 367
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikia kuna tozo kama 21 ambazo ndio zinafanya bei yetu ya mafuta inakuwa juu. Je, kuna mtu anayo list ya tozo zote hizo na kiwango chake (amount) au asilimia zake (percentage). Nitashukuru...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari I have been thinking about starting a business importing goods into Tanzania from UK. So far I have thought about used cars/laptop. I would like some views on this from people in TZ i.e...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
WanaJF Ninapangisha sehemu mbili za biashara kwenye eneo la maduka na ofisi (BAKWATA Commercial Complex) lililopo Kinondoni Road, kwa jina lingine, Kinondoni Muslim. Nafasi ziko mwanzoni kabisa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi kweli nchi hii inaweza kubadilika na kuwa nchi ambayo itakuwa na maendeleo ya kweli?? Nilikuwa naangalia trend ya bajeti ya mwaka huu na mwelekeo wa uchumi wetu naona ni kama vitu viwili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jacobsen Elektro AS, a Norwegian power engineering firm has secured a $530.6 million contract for supply and installation of power generation equipment in Tanzania. The contract includes supply...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Mi nashangaa sana wenye nyumba wetu wanadai kodi ya mwaka mzima kutoka kwa wapangaji wao wakati sisi ama watu wengi tunategemea/wanategemea mishahara ambayo tunalipwa kwa mwezi. Sasa hela ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unasubiri nini sasa..wahi haraka kwa wewe unaeitaji kusafiri hivi karibuni kampuni hii imetoa promo ya kwenda kigali na kurudi kwa doller 350 tu tax inclusive kwa maeleo zaidi piga 713 34 9324...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi, jana na hadi hivi sasa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa kutumia M-Pesa imekufa "kwishney' kabisa hapa jijini Dar es salaam, na nadhani nchini kote. Kila wakala wa huduma hiyo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Federal incentive payments are motivating physician practices and healthcare centers across the US to migrate to EHRs. And, while physicians accept the concept that EHRs will improve the level of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
David Malingha Doya Source: Sydney Morning Herald June 10, 2011 TANZANIA, which vies with Mali to be Africa's third-biggest gold producer, may introduce a "super profit" tax on minerals similar...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu 10th June 2011 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam Wasaidizi wa Mifugo (TAVEPA), Ephrahim Massawe, ameishauri serikali kuzitumia kikamilifu ofisi zake za balozi nje ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dalili za kubaini kwamba mwekezaji si mwekezaji bali ni msanzuaji ni hizi hapa:1. Hutumia mabilioni kujisafisha na kujitakasa kwa sabuni na marashi kwa nje, lakini kwa ndani ananuka uharo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuna ambiwa kama ilivyo kazi ngumu kumpata mwenzi wa maisha ndo ilivyo ngumu kumpata mtu wa kufanya nae Business chekini hiyo nazani itawasaidia wana JF 15 Questions for People Who Are...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…