NIFANYEje nikopesheke

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,171
9,397
Naomba kupewa maelezo ya kina! Hivi inawezekana kupewa mkpo na tasisi za fedha kwa dhamana ya biashara ya salloon ya kunyoa il niongeze mtaji.?Najua mabenki wanataka dhamana ya nyumba ,kiwanja nk je kama vyote hivyo sina ila nina biashara ya sallon inayoingiza laki bili kwa wiki bado sikppesheki!
 
Kwanza ungefuta thread moja kati ya hizi mbili ulizofungua!

Back kwenye mada, si kweli kwamba haukopesheki; inategemea unataka kukopa kiasi gani cha pesa, kutoka wapi na kwa mradi gani (proposal). Kwa ujumla Mabenki yote dhamana ya mali isiyohamishika au yenye thamani ni suala la kipaumbele kwa sababu "hawataki kupoteza", wewe unaweza ukawa na uhakika kabisa wa kurudisha-say mill10 ulizokopa, kwa sababu umeona kwa sasa salon yako inaingiza elf 30 kwa siku na hivyo kama ukiboresha na kuongeza huduma na kuongeza mauzo kuwa laki1 kwa siku; Ikitokea ukaingiliwa na kuporwa kila kitu nani atalipa deni benki? (Ndy umuhimu wa dhamana unapokuja)

Ushauri wangu;
  • Kama unataka chini ya Mil5 Jiunge kwenye kikundi: Siku hizi vikundi vinakopesheka kirahisi zaidi
  • Kama una kiwanja atleast kina offer; Nenda SIDO au NMB ongea na afisa mikopo utapata pesa.
  • Rasimisha biashara yako ili ikopesheke: Isajili, fungulia akaunti na uiendeshe kijasiriamali haswaa, record zote utunze.
Hayo ni yangu machache, wakuu watakuja na mengi.
 
Kama uko Dar nenda Dar mwananchi benk ipo moja pale magomeni mataa jiunge na kikundi kimojawapo manake wanatoa mikopo kwa wajisiriamali katika vikundi.
 
Back
Top Bottom