Bajeti ya mwaka 2010/2011 na mwelekeo wa uchumi wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya mwaka 2010/2011 na mwelekeo wa uchumi wa tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Igembe Nsabo, Jun 9, 2010.

 1. I

  Igembe Nsabo Member

  #1
  Jun 9, 2010
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli nchi hii inaweza kubadilika na kuwa nchi ambayo itakuwa na maendeleo ya kweli??
  Nilikuwa naangalia trend ya bajeti ya mwaka huu na mwelekeo wa uchumi wetu naona ni kama vitu viwili tofauti kabisa! na ukiangalia miaka saba nyuma enzi za bwana Ben Mkapa! Makusanyo ya kodi yalikuwa yanaongezeka mwezi hadi mwezi na deni la taifa lilikuwa linapungu kwa kiasi kikubwa! "decreasing at an increasing rate" na hata matumizi hayakuwa yanapanda kama sasa ikilinganishwa na mapato! Sasa hivi is more than worse! ona bidhaa zinavyopanda kiholela, ukianzia na bei ya madafu yetu ukipeg na $... aibu tupu...
  Someni wenyewe mpate na mjaribu ku compare na bajeti za miaka kama saba hivi ndo mtajua wenyewe! hivi kweli maisha bora kwa kila Mtanzania ndo hayooo!!?

  NB: Wachumi jaribu kutusaidia kupata mwelekeo mzuri na tujaribu kuichambua Bajeti ya Serikali kama Mhe. Mkulo atakavyotamba nayo........!
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Baba pole na kazi,

  Uchumi mmeutelekeza wenyewe kwa kura zenu sasa mnategemea nini. Unavuna ulichopanda, hautavuna njugu kwa kupanda mpunga... itakuwa miujiza ya Musa
   
 3. d

  diziyanos Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndio mambo ya demokrasia hayo,wabunge wetu baada ya ku discuss hii bajeti na upatikanaji wa maisha bora,kazi ni kurushiana maneno na kujivunjia heshima kwao na bunge le2.


  vipi tutapata maisha bora na bajeti hii?
   
Loading...