The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
mimi sijasoma biashara ila nataka sana kufanya biashara lakini nimeshindwa nifanye biashara ipi sina mtaji mkubwa ni kama one milion, nategemea eneo la biashara liwe MWANZA kwani mi ni mkazi wa hapa..naombeni ushauri wa mawazo kwa wazoefu wa biashara...