Gari yenye full time 4wd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari yenye full time 4wd

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tricker, Jun 8, 2011.

 1. T

  Tricker Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Wapendwa naomba anaejua sehemu (Gerage au fundi) au jinsi ya kubadilisha a full time 4wd kuwa 2wd,manake full time 4wd inakula sana mafuta

  Thanks
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Does your car has a part time 2WD option?
   
 3. T

  Tricker Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Haina mkuu,ndo maana nataka nikaitoe hiyo system ya full time 4wd kwa mechanic,au kama kuna njia nyingine naomba mnijuze
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  A simple kit can be fitted to the Transfer Case in approximately 5 hours. No special service tools are required. The existing centre "Diff Lock" button or lever becomes the 4WD engagement button just as in the late FJ62 & FJ73 Series Landcruiser factory engagement mechanism. A quality Free Wheel Hub set is included in the kit. There are comprehensive fitting instructions for the DIY owner. An additional benefit of this installation is the Lokka automatic diff locker can be fitted to the front differential which greatly improves traction in all 4WD situations.

  Read more here Part Time 4WD Conversion | 4WD Systems | Gear to Goannawhere
   
 5. T

  Tricker Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Thanks mkuu sasa hii technology ipo hapa Tanzania?na garage gani nikienda watanifungia hii simple kit na kwa gharama gani,tafadhali
   
 6. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Uza kaka, hilo jini, mi nilikuwa nalo tena GX 100 likanisumbua bearing ikwa sipati, nikaagiza Nairobi mara baada ya kupona nikauza, jini hilooooooooooo, uzaaaaaaa.
   
 7. T

  Tricker Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  sijakuelewa Zemu yani bearing ambayo ulikua huipati inahusiana na gari kuwa full time 4wd?ofcourse nikikosa solution ni kuuza tu
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu kutoa 4WD ni simple , kiasi cha kutoa drive shafts za mbele.
  Hata hivyo inabidi uwe mwangalifu kwani hizi gari za full time 4WD ziko synchronised katika gearbox. Inabidi ujue mtu anayeweza kukutulizia drive train yako ili isije kupa matatizo zaidi ya yale unayoyakwepa.
   
 9. T

  Tricker Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Noted mkuu
   
 10. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa nini utoe?raha ya full time 4WD ni siku za mvua!au umeenda na gari lako Kigoma njia ya vumbi halafu mvua inanyesha ndio utajua umuhimu wake!siamini kama inakula mafuta kivile!!!!!ila kwa sis waswahili hasa wa TZ ndio tunaamini hivyo!hizo ndio gharama za kumiliki gari!hebu fanya kitu kimoja then utuletee mrejesho hapa JF!weka full tank kwenye gari lako lenye full time 4WD!siku ya Jpili huwa hakuna foleni kabisa!kama upo dar lakini manake hujasema uko wapi!toka hapo ulipo nenda umbali wa let say 50kms go and return then jaza tena full tank!utajua kiwango cha fuel consumption!then chukua gar nyingine isiyo full time 4WD but the same model !then fanya the same exercise hapo unaibuka na conclusion!pia mkuu kwa gari ukianza kupeleka garage utakua crazy bure!fundi atakuambia anaweza kumbe ndio anajifunzia ufundi hapo hapo kwenye gari lako.
   
 11. T

  Tricker Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nimekusoma sana mkuu,kweli ngoja siku nitafute safari nje ya dar,ofcoz naishi dar mkuu.thanx
   
 12. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Samahani kidogo....kwani kuna uhusiano gani kati ya utumiaji wa mafuta na full time 4WD?
   
 13. T

  Tricker Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Full time 4wd needs more power bcoz it pushes all the 4wheels all the time,extra energy is needed.
   
 14. S

  Sendeu Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau asanteni kwa elimu nzuri hapa JF naombeni nijue gari ina button 2 kwa ajili ya 4WD moja imeandikwa automatic nyingine imeandikwa LOCK ipi ndo ukipress utakuwa umeweka 4WD asanteni
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Why did you buy the AWD in the first place?
   
 16. T

  Tricker Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Did i say i bought it?kuwa na gari sio lazima ununue mnyambala labda nilipewa zawadi?
   
 17. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  4WD vehicles is very piwerfull,huwa inachanganya haraka sana!hata ukiangalia price zake ni high than 2wd!kama unataka kutoa kila la heri!but for myself i recommend full time 4wd
   
 18. T

  Tricker Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kwa ushauri wako na watu wengine wengi waliochangia hii hoja nimekuwa convinced kwamba sina haja ya kutoa hiyo system ya full time 4wd,nadhani hali ngumu ya uchumi na kupanda kwa gharama za mafuta ndo ilinipeleka kuomba mawazo yenu juu ya hili.nawashukuruni sana wote mlionijibu swali langu
   
 19. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Usibadili hiyo full time 4WD. Waliounda gari ya namna hiyo walikuwa na maana yao. Ni matatizo yetu tu waafrika ya kiuchumi ndio huwa yanatufanya tutake kuchakachua kila kitu. Ukitoa hiyo utaweza kukuta matatizo ya balance ya gari,matatizo ya mwendo na hata alichosema mwana jf mmoja hapo juu-matatizo ya bealings.
   
 20. u

  ureni JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  4WD ina raha zake bwana especially unapoanza safari ya kwenda loliondo kwa babu halafu mvua inyeshe,lakin kwa hapa bongo 4WD sio muhim kihivyo
   
Loading...