Wapangaji na awenye Nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapangaji na awenye Nyumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by yutong, Jun 15, 2011.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mi nashangaa sana wenye nyumba wetu wanadai kodi ya mwaka mzima kutoka kwa wapangaji wao wakati sisi ama watu wengi tunategemea/wanategemea mishahara ambayo tunalipwa kwa mwezi. Sasa hela ya mwaka mzima mimi ntaipata wapi? Let say mshara wangu kwa mwezi ni laki 3 (300,000/-) na kodi ya nyumba kwa mwezi ni sh 50,000/- kwa mwaka mzima inamaana sh 600,000/- na sasa nimlipe kwa mara moja. Je serikali haioni kuna umuhimu wa kubadilisha utaratibu huo? Je wanaJF mnaionaje hii imekaaje?
   
Loading...