You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mbasamwoga, Sep 14, 2011.

 1. m

  mbasamwoga Member

  #1
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUNA USEMI ULIOENE MTAANI KWAMBA KWAMBA KUWA MTANZANIA MAANA YAKE USIFIKIRIE SANA MADUDU YANAYOFANYIKA HAPA KWETU ZAIDI UWE MTU WA KUPOTEZEA..... LKN WENGINE TUTAENDELEA KUSEMA YA MOYONI.

  SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA HILI LA TANZANIA LINATUMIA FEDHA YA WAVUJA JASHO KUJENGA NYUMBA AMBAZO ILITAKIWA WAPANGISHWE NDUGU ZETU WENYE KIPATO CHA CHINI LKN BADALA YAKE NYUMBA HIZO WANAISHI WAGENI HASA ZILIZO MAENEO YA MJINI AU MAENEO MAZURI YA MIJI YETU KWA BIASHARA NA MAKAZI.

  UKIJIULIZA NI KWANINI HUPATI JIBU, INABAKIA KARAHA YA HAWA WAHINDI KUTUTEMEA MATE NA KUTUMWAGIA MAJI MACHAFU WAKIWA HUKO JUU KWENYE MAGHOROFA YETU............ KWA KWELI TUNADHALILISHWA SANA!!!!!!!!!!

  HIVI NYUMBA ZA NHC WALIJENGEWA WAHINDI TUUU????? ETI SABODO KAWAMBIA WASIJAZE ASILI YAO!!!!!!!YULE BOSI ALIYEMWAGA MAPESA WAKATI WA UCHAGUZI AMETEMA CHECHE KUHUSU WAO KUTOJAZA ZILE FOMU ZA NHC MJE MUONE SASA JINSI SERIKALI ILIVYOWEKWA MFUKONI NA WENYE NAZO......

  "Tayari mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM, Mustafa Sabodo alitoa matangazo kwenye vyombo vya habari akiwataka wapangaji wa NHC kutojaza dodoso zilizotolewa na shirika hilo kutokana na kile alichokiita kukosa uhalali wa kisheria kwa kuuliza maswali ambayo ni ya kibaguzi na kusisitiza: “Hivyo msijaze hizo fomu sababu hawana haki ya kuuliza haya maswali.”

  UKILA YA MBUZI UTAOTA MAPEMBE...... MLIKULA ZA WAHINDI MTAOTA UHINDI
   
 2. m

  mbasamwoga Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUNA USEMI ULIOENE MTAANI KWAMBA KWAMBA KUWA MTANZANIA MAANA YAKE USIFIKIRIE SANA MADUDU YANAYOFANYIKA HAPA KWETU ZAIDI UWE MTU WA KUPOTEZEA..... LKN WENGINE TUTAENDELEA KUSEMA YA MOYONI.SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA HILI LA TANZANIA LINATUMIA FEDHA YA WAVUJA JASHO KUJENGA NYUMBA AMBAZO ILITAKIWA WAPANGISHWE NDUGU ZETU WENYE KIPATO CHA CHINI LKN BADALA YAKE NYUMBA HIZO WANAISHI WAGENI HASA ZILIZO MAENEO YA MJINI AU MAENEO MAZURI YA MIJI YETU KWA BIASHARA NA MAKAZI.UKIJIULIZA NI KWANINI HUPATI JIBU, INABAKIA KARAHA YA HAWA WAHINDI KUTUTEMEA MATE NA KUTUMWAGIA MAJI MACHAFU WAKIWA HUKO JUU KWENYE MAGHOROFA YETU............ KWA KWELI TUNADHALILISHWA SANA!!!!!!!!!!HIVI NYUMBA ZA NHC WALIJENGEWA WAHINDI TUUU????? ETI SABODO KAWAMBIA WASIJAZE ASILI YAO!!!!!!!YULE BOSI ALIYEMWAGA MAPESA WAKATI WA UCHAGUZI AMETEMA CHECHE KUHUSU WAO KUTOJAZA ZILE FOMU ZA NHC MJE MUONE SASA JINSI SERIKALI ILIVYOWEKWA MFUKONI NA WENYE NAZO......"Tayari mfanyabiashara maarufu na kada wa CCM, Mustafa Sabodo alitoa matangazo kwenye vyombo vya habari akiwataka wapangaji wa NHC kutojaza dodoso zilizotolewa na shirika hilo kutokana na kile alichokiita kukosa uhalali wa kisheria kwa kuuliza maswali ambayo ni ya kibaguzi na kusisitiza: “Hivyo msijaze hizo fomu sababu hawana haki ya kuuliza haya maswali.”UKILA YA MBUZI UTAOTA MAPEMBE...... MLIKULA ZA WAHINDI MTAOTA UHINDI
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  maskini tz mweeeeeeee
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Wao huchangia sana CCM...........thats why
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kama ulimkubali kuwa ni Mtanzania halali, kwanini uendelee kumuulizauliza asili yake tena?
  I think Sabodo is right!
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  The Citizen (Dar es Salaam)
  [h=1][/h]Alawi Masare
  13 September 2011
  [HR][/HR]
  Dar es Salaam — Tanzanians of Asian descent are unhappy with the National Housing Corporation (NHC) collection of socioeconomic data from its tenants. They are worried that the NHC is aimed at increasing rents. NHC director general Nehemiah Mchechu has allayed fears.


  He said what the corporation was doing was simply to have up to date data and that was normal for a public institution. He gave the example of the Immigration Department, which asks such questions when a person is applying for a passport.  "There is no cause for alarm; we are not going to discriminate against anybody. The Tanzanians of Asian origin have been renting the NHC buildings since 1964 and no discrimination has occurred at all," he told The Citizen by phone yesterday.


  NHC had contracted the Ardhi University to collect socioeconomic information of its tenants for preparing a database.


  However, businessman Mustafa Sabodo and Dar es Salaam Merchants Chamber chairman Anver Rajpar have raised fears, claiming the collection of socioeconomic data would lead to NHC's discriminatory decisions.


  They cite paragraph B(3) of the questionnaire requires a tenant to disclose his/her nationality by specifying whether Tanzanian of African origin, Tanzanian of Asian decent, Tanzanian of European origin, non-Tanzanian or others.

  "To me this is total discrimination. How can anyone disclose his or her ethnic group, personal income and about where their children are studying?" complained Mr Sabodo in his article yesterday.


  According to him, relevant questions would be of bank details, terms of payment (monthly or annually), nationality without specifying ethnic group and current occupations of the tenants.He suspected that the NHC move was aimed at increasing rent based on racial discrimination to raise money for the corporation. "If they want to raise money, they should list NHC on the Dar es Salaam Stock Exchange and not increasing the rent."


  In a letter of 26 August 2011 addressed to Prime Minister Mizengo Pinda, Mr Rajpar said they had objected to NHC director general's inclusion of Para B(3) in the questionnaire.


  "I shall be grateful to hear from you whether you approve the inclusion of such a discriminatory clause in the questionnaire," reads the last paragraph of the letter.
   
 7. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I can not agree with you more PJ! Hapa ndio pale tunashindwa kuwa wakweli! Kama mtu ni mtanzania asili inahusikaje kwenye hili? Hivi kweli leo mnaweza kusema kwa vile ni wapare wengi wapo huko basi watolewe! It is pathetic! kama kuna ukiukwaji wa sheria katika kuwapatia hao wapangaji hizo nyumba that should be an issue but not asili yao! Since when Watanzania tunaulizana makabila? Hellooooooo! Bosi kubwa wa NHC nini hiii! Shame on you!
   
 8. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,302
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mtamtetea sana sabodo coz aliwachangia mipesa wakati wa uchaguzi, je angekuwa manji,au rostam?
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  NHC walikuwa wapi siku zote hadi kuruhusu kupangisha nyumba zote wahindi?
  Tusitake kudanganyana hapa...hakuna usawa wowote kati ya Mnatumbi na mhindi...eti wote watanzania...&&%%^##@*I*(_
   
 10. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Mkapa aliwaambi asians kwamba chini ya serikali ya CCM wasihofu na maslahi yao yatalindwa,sasa basi,ili Watanzania waishi au kupatiwa upangaji kwenye nyumba hizo ni lazima CCM wang'oke madarakani.Good lesson,so if you wish to be a NHC tenant make sure 2015 is the End of CCM unless otherwise don't complain.
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wa Tz lazima mkubali nchi yenu inaendeshwa kwa mujibu wa Rules of Law, na Mustafa Sebodo yupo right kabisa kupinga ubaguzi ndani ya nchi yenu. Sasa kama NHc wana la ziada na kama ametoa matangazo kwenye vyombo vya habari kama magazeti na Radio wana haki kumfikisha mahakamani.

  Nchi haiendeshwi kama gari bovu lisilo na sheria (dereva)
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Mustafa Jaffer Sabodo, niliwahi kubandika article yake humu JF. He is the "Man", the person I admire most in Tanzania.
   
 13. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  hizi lugha na hisia za "wahindi", "waarabu", "wazanzibar", "wachaga" nk ziliibuka kipindi fulani Mzee Nyerere akazizima sasa zikianza kuibuka sijui zitazimwa na nani maana nchi haina viongozi tena, na wazee wanaonekana kutowajibika ipasavyo. Tuna watawala tu, ngoja tuone
   
 14. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #14
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Serikali iweke vigezo itakayovizingatia kugawa Nyumba zake ili kila mtu apate. Tatizo ni kwamba nyumba NHC imekuwa kama mali ya wahindi tu, kiasi kwamba watu wengine ukipata hizo nyumba unaonekana kama mgeni. Huu ni udhaifu wa viongozi wetu kuchukua kitu kidogo na kutofuata haki. Wahindi hawakujiingiza ktk nyumba hizo- walipewa.Nakubaliana na Genekai, Sabodo is right, kuuliza asili au rangi ya mtu ni mwanzo wa ubaguzi. Ukianza na wahindi, hutaishia hapo. watakuja kubagua wabena ni wengi au wairaqw, wakwere, wasukuma, wakurya nk Halafu baadaye utauliza upande (kanda) gani ya Tz wamezidi, dini itafuata, jinsia, mwisho mtahoji wewe ni chadema au ccm nk. Nyerere alikuwa na wahindi ktk baraza lake la kwanza, Issa Shivji (Mhindi?) na Andrew Chenge( Msukuma) nani mtanzania zaidi? Tusianze ubaguzi.
   
 15. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu Sabodo anataka kuchochote hisia za sisi wamatumbi kudai kukaa mjini na upanga kwa kodi ndogo wanazolipa wao. Hivyo muache aendelee hajui adhari yake inakuwa kubwa . Hata hivyo mtu kama yeye nasikia pia ni mpangaji wa NHC na ana ofisi pale karibu na clock tower, je kwanini asipeleke ofisi yake kwenye majengo yake. Yeye kapangisha kwa mapesa mengi huku analipa visenti kwa shirika la umma. Je huyu gabachori anahitaji huruma ya wazalendo?
   
 16. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nhc na mchechu wanavunja katiba,
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,480
  Likes Received: 12,739
  Trophy Points: 280
  eeeeh dereva anajulikana!!!!!!
  wazi kiwango chake cha uendeshaji
   
 18. m

  mbasamwoga Member

  #18
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msechu amevunja katiba ipi wewe JITU....original au wewe ndie jitu patel mzee wa EPA. labda unaongelea katiba ya India sio ya Tanzania hiii
   
 19. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Pana sheria Tz? Kungekuwa na sheria nchi hii basi Rostam, Chenge, Lowassa, Karamagi, Mramba, Manji,etc tungekuwa tumeshawasahau zamaaaani,
   
 20. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #20
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mleta mada ameleta matapishi na mie najisikia kichefuchefu anadai eti nyumba za NHC zimejengwa kwa pesa za wavuja jasho eti zile nyumba za mitaa ya India street, zanaki na city center kwa ujumla na maeneo ya upanga zile nyumba zilijengwa kwa pesa za wavuja jasho? I am out
   
Loading...