Kuwa na Maarifa

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
156
Mawasiliano kwa mwanadamu hususani kwa watanzania ni jambo la muhimu kwa Watanzania wa sas,kwani tunaposoma vitabu vya dini vinatueleza kuwa Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,na mimi huwa naamini kuwa maarifa yapo ya aina tatu

1.kuna maarifa ya Kiungu (hevenly wisdom)
2. kuna maarifa ya ulimwegu wa chini
3.kuna maarifa ya ulimwengu huu wa kawaida,sasa maarifa haya ya ulimwengu wa kawaida ni maarifa ambayo watu wengi wameyakosa na wanashangaa kwanini maisha yao yanazidi kuwa magumu,kwani maisha yao hayapati upenyo haya yote wanashindwa kutambua kuwawanakosa maarifa ya kiulimwengu maarifa ya kawaida,yaani maarifa mazuri ufahamu mzuri wa kifedha,maarifa ya mawasiliano ,maarifa ya uongozi na maarifa ya kawaida ambayo kila mwanadamu anapaswa kuwa nayo,sasa wenzetu kulu magharibi sasahivi wanafanya juhudi sana ya kujiongezea maarifa haya binafsi kwa ajili ya maendeleo yao binafsi, wanaongezea kwenye Elimu yao ya kawaida,lakini huku kwetu Afrika bado watu wengi hawjajua kwamba siri kubwa ya maendeleo ya kweli ipo kwenye juhudi binafsi,yapo kwako wewe mwenyewe kujisukuma kujiendeleza zaidi katiKa kusoma vitabu,kubroser kwenye internet ili kupata maarifa mapya.
pia kukutana na Watu wapya ,kukutana na mawazo mapya (ideas) mpya na vitu kama hivyohayo ni baadhi ya mambo ambayo unayo takiwa kuwa nayo kwakweli utaweza kubadilisha maisha yako na sana maisha yako wewe binafsi
Asanteni MUNGU awabariki
Kwa mada nzuri kama hizi tembelea link hii
GSHAYO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom