Mohamed trans ndani ya mzozo moro stand

CLEMENCY

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
211
116
Hapa Moro stand kumetokea mzozo mkubwa. Abiria wa kutoka Shinyanga wamegoma kufaulishwa kuingia kwenye gari linalotoka Dodoma. Trafiki inaelekekea amefungwa mdomo mana anadai anataka piga simu kwa mabosi wake.
kweli watanznia wameamka saa.Wanajua haki zao sasa. Hali bado tete sana,ni makelel na vurugu
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom