Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau naombeni ushauri na muongozo juu ya uanzishaji wa biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ili nijue nianzie wapi!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Naomba mlolongo mzima wa mwenye ufahamu, uzoefu, ujuzi na mtaalam kuhusu saloon ya kike. (1) Gharama za kuanzisha saloon. (2) Gharama za vifaa ya saloon eg. Dryer, steamer, raster...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
Kwa wale wapenzi wa mchele safi wenye ladha kutoka Kyela (pure ambao haujachakachuliwa) bei ni Tshs 2500 kwa kilo, Fika mabibo relini mkabala(opposite) na kibanda cha kukatisha tiketi za treni ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kwa watanzania wengi hata wale walioenda shule hawaelewi customer service maana yake ni nini. Wafanyakazi wengi badala ya kumhudumia, kumjali na kumheshemu mteja, wafanyakazi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau je wapi watu wanakutana morning for networking ktk jiji la dar es Salaam number yangu 0676019019 ni kama mtu asikia
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huawei introduces Huawei Experience Shops Dar es Salaam 25th Feb 2016: Chinese Tech firm Huawei Tanzania has re-engineered its device business by launching two Huawei Experience Shops and a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Tunahitaji kupokea malipo kutoka wa wateja wetu kwa njia ya mastercard, nahitaji kununua mashine ambayo inafanya kazi hiyo. Anayejua zinapopatikana tafadhali nifahamishe. Asante.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish As it was mentioned in the last forecast, EURUSD has been making some bullish attempt, which, however, has not been...
0 Reactions
1 Replies
709 Views
HM CONSULTING SERVICES, Nina andaa Write-ups za aina mbalimbali kwa wajasiliamali wadogo, wakati na wakubwa. Writeups kama michanganuo ya biashara, miradi, Mapendekezo ya miradi, ripoti...
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Wakuu Heshima kwenu Nashukuru Mungu nimefanikiwa kupandisha kibanda changu Na sasa nipo hatua ya finishing... Naomba msaada juu ya milango ya nyumba ile ya Mbao.... Kuna ambao wamenishaur niagize...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
PRESIDENT John Magufuli's reputation as a man who likes to get things done were among key reasons behind the country’s success in concluding a lucrative crude oil pipeline agreement with Uganda...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku za mwanzo za kuanza kujitegemea na kufanya shughuli binafsi (Biashara, Ujasiriamali nk) ni ngumu sana. Hili nimelishuhudia mimi mwenyewe "personally". Changamoto ni nyingi na mambo mengi...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Ina Chumba kimoja master ,sebule na jiko vyote ndani mazingira mazuri ndani ya geti parking ipo maji yapo 24hrs na umeme ni wa kujitegemea una luku yako binafsi no kushea Maeneo ya mwenge...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 4 “When I encounter traders who lack enthusiasm for trading, I know their foray into the financial markets will be short lived. They seem...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Mimi mjasiriamali nahitaji mkopo wa kumalizia project yangu ya Lodge na pesa nyingine kuingiza katika biashara zangu nyingine. Mkopo ninaohitaji kama 300milion na nahitaji mkopo wa muda mrefu.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nokia CEO ended his speech saying this “we didn’t do anything wrong, but somehow, we lost”. By: Ziyad Jawabra Moja ya kampuni kongwe na maarufu za simu ya mkononi Nokia hatimaye ilishindwa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
USDJPY = Buy AUDJPY = Buy CADJPY = Buy CHFJPY = Buy EURJPY = Buy GBPJPY = Buy NZDJPY = Buy NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of 200...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Wana JF, Kumekuwa na ushauri mbalimbali unaotolewa kwamba watu waweke fedha zao benki. Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo Tanzania, nisingemshauri mtu yoyote kuweka fedha zake benki kwa sasa...
22 Reactions
78 Replies
20K Views
Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs.. mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri tafadhali...nimepata frem gongo la mboto... maoni yenu plz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri. Tafadhali nimepata frem Gongo la mboto. Maoni yenu plz
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom