Kumjali na kumheshimu mteja ni ufunguo wa mafanikio katika maisha

Jajojo

Senior Member
Sep 1, 2015
155
95
Inasikitisha sana kwa watanzania wengi hata wale walioenda shule hawaelewi customer service maana yake ni nini. Wafanyakazi wengi badala ya kumhudumia, kumjali na kumheshemu mteja, wafanyakazi wengi huwadharau wateja na kuwaona hawana maana.

Zamani kulikuwa na usemi usemao MTEJA NI MFALME! wafanyakazi wengi katika vitengo karibuni vyote Tanzania msemo huu kwao ni MTEJA NI MTUMWA, MFANYAKAZI NI MFALME!

Ushauri-
Good customer service kumjali na kumheshimu mteja ni ufunguo wa mafanikio katika maisha. Usimdhalau mtu yeyote katika maisha yako. Wahudumie wateja wako katika sehemu yako ya kazi kwa moyo wa upendo na smile on your face.
 
Mvumilivu hula mbivu ndugu vumilia tu tutakuhudumia
 
Back
Top Bottom