Milango mizuri kwa nyumba yangu

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,413
Wakuu
Heshima kwenu
Nashukuru Mungu nimefanikiwa kupandisha kibanda changu Na sasa nipo hatua ya finishing...
Naomba msaada juu ya milango ya nyumba ile ya Mbao....
Kuna ambao wamenishaur niagize Kibiti au ikwiriri ila nimeona sampo za fund sijazipenda
Pia gharama mpaka dar ni laki 3 top Na frame...
Nipeni ushaur nikachukue tu WA mchina ambao ni mzuri kwa sura?
Asanteni
 
me nakushauri ka haujapenda sample ya huyo fundi..google online uchek sample za milango then chagua moja utakayo ipenda n mtumie fundi wako akuchongee
Ishu ni finishing za kibongo zipo poor sana
 
Wakuu
Heshima kwenu
Nashukuru Mungu nimefanikiwa kupandisha kibanda changu Na sasa nipo hatua ya finishing...
Naomba msaada juu ya milango ya nyumba ile ya Mbao....
Kuna ambao wamenishaur niagize Kibiti au ikwiriri ila nimeona sampo za fund sijazipenda
Pia gharama mpaka dar ni laki 3 top Na frame...
Nipeni ushaur nikachukue tu WA mchina ambao ni mzuri kwa sura?
Asanteni
Inategemea uko wapi wew, kama upo dar, nenda wazo hill karakana ya wazo hill zamani/sti uliza Fundi Frank, jamaa flan mweupee finishing yake ni euro STDs. Au njoo PM
 
Wakuu
Heshima kwenu
Nashukuru Mungu nimefanikiwa kupandisha kibanda changu Na sasa nipo hatua ya finishing...
Naomba msaada juu ya milango ya nyumba ile ya Mbao....
Kuna ambao wamenishaur niagize Kibiti au ikwiriri ila nimeona sampo za fund sijazipenda
Pia gharama mpaka dar ni laki 3 top Na frame...
Nipeni ushaur nikachukue tu WA mchina ambao ni mzuri kwa sura?
Asanteni
karibia mbao zote bora zinatoka rufiji haswa ikwiriri uko utapata milango bora kabisa au mitaa ya undengerekoni uko dar kama mbagala tandika temeke utapata mbao za rufiji haswa mti wa mpangapanga huo mpaka kitukuu chako atatumia na kuuacha huo mlango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom