Hadithi ya Nokia: Kama hutobadilika, utaondolewa kwenye ushindani

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
500
Nokia CEO ended his speech saying this “we didn’t do anything wrong, but somehow, we lost”. By: Ziyad Jawabra

Moja ya kampuni kongwe na maarufu za simu ya mkononi Nokia hatimaye ilishindwa kujiendesha katika ushindani wa sasa na kununuliwa na Microsoft. Nokia ina umri wa miaka 150 toka ianzishwe na imekuwa na mafanikio makubwa hadi sasa.

During the press conference to announce NOKIA being acquired by Microsoft, Nokia CEO ended his speech saying this “we didn’t do anything wrong, but somehow, we lost”. Upon saying that, all his management team, himself included, teared sadly.

Nokia has been a respectable company. They didn’t do anything wrong in their business, however, the world changed too fast. Their opponents were too powerful.

They missed out on learning, they missed out on changing, and thus they lost the opportunity at hand to make it big. Not only did they miss the opportunity to earn big money, they lost their chance of survival.

The message of this story is, if you don’t change, you shall be removed from the competition.
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,285
2,000
kulikuwa na Ericson pia...ikabebwa na Sony

Sony wenyewe kwente tv wamepitwa na Samsung

Kabla ya google kulikuwa na Lycos na yahoo walikuwa wanatamba
 

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,468
2,000
Kulikua na Kodak pia pamoja na makampuni mengine ya digital cameras yote yamekufa au hali mbaya baada ya smartphone kuingia sokoni.
 

lumia21

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
267
250
.. Vile vile kulikuwa na Yashika camera... Siku hiz sijui iko wapi!!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom