Nahitaji mkopo wa kumalizia mradi wangu wa Lodge

misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
13,916
9,729
Mimi mjasiriamali nahitaji mkopo wa kumalizia project yangu ya Lodge na pesa nyingine kuingiza katika biashara zangu nyingine.
Mkopo ninaohitaji kama 300milion na nahitaji mkopo wa muda mrefu.
 
Nenda Amana Bank.. Ila niliambiwa na Access Bank wako vizuri.. That's if you got all the necessary collateral
 
Nami naomba niwe nakuNdalia document za mradi wako...tukianza na business plan ya hiyo Lodge...very low price!!
 
Nenda Amana Bank.. Ila niliambiwa na Access Bank wako vizuri.. That's if you got all the necessary collateral
Nenda Amana Bank.. Ila niliambiwa na Access Bank wako vizuri.. That's if you got all the necessary collateral
"If you got all necessary collateral".........siamini kama kuna benki inayofanya hivyo. Benki inaangalia chanzo chako cha mapato kitakachowezesha wewe kufanya marejesho ya mkopo na riba yake "collateral" huja mwishoni kabisa baada ya kujiridhisha kuwa una mzunguko wa kumudu kufanya marejesho ya kila mwezi.
 
Back
Top Bottom