Wapi wanakutana for Networking in Dar?

Sep 15, 2015
93
10
Wadau je wapi watu wanakutana morning for networking ktk jiji la dar es Salaam number yangu 0676019019 ni kama mtu asikia
 
Nijuze wanakutana kufanya nini? Vijiweni au. ..sielewi unataka nini? Wewe mgeni Dar? Nenda kwenye vijiwe vya kahawa posta. Kama unapesa nenda pub washikaji watakuja tu.
 
daily naona watu wana meet for tea ktk mahoteli for networking I thought some people here mnajua kuhusu hili ndoo sababu ya Ku post
 
Heheheee.. Tafuta thread za rifaro au forever living.. Zimo humu na wana vikao vingi sana.. Utachoka mwenyewe
 
Mkuu kwa Bongo haya mambo hayapo kabisa, networkinh hapa wanajua ni wakina Forever Living to, Jamaa anamanisha mahali watu wanakutana kubadilishana idea za biashara na wanavyo weza fanya biashara,
Huu utamaduni hapo Bongo na hii nin kwa sabbau mambo mengi ya wabongo ni full magumashi, usanii kibao
 
Back
Top Bottom