Mchele super kutoka Kyela

kilavo11

Member
May 2, 2011
39
14
Kwa wale wapenzi wa mchele safi wenye ladha kutoka Kyela (pure ambao haujachakachuliwa) bei ni Tshs 2500 kwa kilo,
Fika mabibo relini mkabala(opposite) na kibanda cha kukatisha tiketi za treni ya Mwakyembe,
wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:-
0684 951 007
0652 299 681
Pia kwa makubaliano tutakufikishia mahali ulipo.
KARIBUNI WOTE,
 
Back
Top Bottom