Naandaa Writeups

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
HM CONSULTING SERVICES, Nina andaa Write-ups za aina mbalimbali kwa wajasiliamali wadogo, wakati na wakubwa.

Writeups kama michanganuo ya biashara, miradi, Mapendekezo ya miradi, ripoti mbalimbali nk.

Karibu nikuandalie kwa mda mfupi, bei nafuu na negotiable, na kazi yako iwe original na sio ya copy and paste;

Nakuhakikishia kazi yako itakuwa confidential, itakuwa imeendaliwa kisomi na very practical katika mazingira yetu.

Mteja unaweza kuwa popote, na kazi itafanywa vema na kwa uaminifu kabisa.

Wasiliana 0754734009
 
Kazi nilizofanya zimeangukia ktk;
1) Kilimo..spices
2) Matumizi ya ardhi
3) Matumizi ya jengo
4) uchakachaji madini
5) Mgahawa mjini
6) Agribusiness
7) Ufugaji...fish farming
8) kiwanda cha kutengeneza vifaa...
9) Hardware business
10) NK
 
Kuanzisha mradi wowote huhitaji mipango awali, mipango ya kati na mipango endelevu; sisi tunaweza anzia AWALI hadi uendelevu wa mradi wako, tutafanya nawe, utafurahia matokeo yake.
 
Back
Top Bottom