Biashara ya saloon ya kike

Joasi

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
768
672
Habari,

Naomba mlolongo mzima wa mwenye ufahamu, uzoefu, ujuzi na mtaalam kuhusu saloon ya kike.

(1) Gharama za kuanzisha saloon.
(2) Gharama za vifaa ya saloon eg. Dryer, steamer, raster. nk.
(3) Mafuta ya nywele na Aina zake.
(4) Jinsi ya kuendesha hii biashara .
(5) Tahadhari gani nizichukue katika kuendesha hii biashara.

Nipo Geita kijijini kidogo na hakuna saloon ya kike na uhitaji wa saloon upo.

Nawakaribisha Sana.
 
Back
Top Bottom