Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri. Tafadhali nimepata frem Gongo la mboto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.