Nahitaji mashine za kupokelea malipo kwa mastercard

Sep 3, 2011
48
17
Habari,
Tunahitaji kupokea malipo kutoka wa wateja wetu kwa njia ya mastercard, nahitaji kununua mashine ambayo inafanya kazi hiyo. Anayejua zinapopatikana tafadhali nifahamishe.
Asante.
 
Kwa jina inaitwa EFTPOS (electronic funds transfer at point of sale) pia uwajaribu bmtl
 
Back
Top Bottom