JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau Kwema??, Nilikua nawaza kuongeza gari ndogo home, Shemeji yenu atalitumia pia hata mimi inaweza kunisaidia pale hela ya wese ikigoma kupatikana kwenye gari ya sasa. Sasa katika kuzunguka...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, napenda kuwajulisha kwamba kama kuna mtu au kampuni inasumbuka kupata filter yeyote ile kwa ajili ya gari, generator, compressor, roller, excavator, crane, motor grader au...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jamii wenzangu, i hope mko poa.... Kuna hili jambo huwa linanishangaza sana hasa katika hiz daladala zetu hapa Dar es salaam...utakuta Traffic Police anamsimamisha dereva wa...
1 Reactions
1 Replies
696 Views
Nina toyota brevis, vvti engine hivi karibuni,nikiwa nakanyaga mafuta niongeze speed ikakata mafuta na kuzimika ghafla nikaipaki pembeni, nikaiwasha ikawaka, ikatembea vzr tatizo unakuja pale...
0 Reactions
5 Replies
748 Views
Habari zenu wana Jf wa jukwaa hili , Awali ya yote ningependa kupongeza juhudi na jitihada za mwasisi wa Jf pamoja na uongozi kwa ujumla kwa kutuweka pamoja kwa mambo yenye tija kwetu sote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu, nimeangalia taa za mbele za gari nyingi hususani toyota naona nyingi zinaukungu, nishawahi kwenda gereji moja wakaziosha ila ndani ya miezi 3 naona zinarudia ile hali. Na...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Nataka kununua Gari ya Matumizi ya Nyumbani, kwa hiyo Naomba ushauri wenu, Ipi Gari nzuri kwa Matumizi ya Nyumbani, Bajeti yangu Mlioni Ishilini tu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ndugu zangu em tubadilishane mawazo na ujuz kuhuz toyota celca iz gar zko vp.....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari!! Kuna machine nahitaji nitengeneze locally, hivyo basi naomba kwa ambaye mwenye karakana ya kuchomelea ya kisasa (maana machine yenyewe inahitaji vifaa vya kisasa) au kama una mfahamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninaomba kufahamu haya yafuata2001 1.Gari Toyota Prado engine 1kz 2001. Ukiendesha km140 p/h inapandisha temperature ila ukizima aircon tempreture inashuka ila ukikimbia zaidi ya km 140 p/h...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Sina uzoefu sana na Magari hasa ya kisasa. Ni hivi Jilani yangu anataka kuagiza gari Japani, sasa kulingana na tulivo zoeana amekuja hapa kuniomba ushauri. Ana kiasi cha TZS 8.5 hadi 10 M...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Wana Jf nahitaji body ya Toyota hilux 2.7 baada kupata ajali na body kuharibika sana.
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Kwa anaelijua jina lake, atusaidie Jina tu
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba msaada kufahamu nitakapopata mshine za kuoshea magari hapa Tz au website yeyote
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta bamper la mbele/Nose cut ya toyota cresta gx 100
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforums! Naomba ushauri nina gari aina ya Toyota Belta ambayo ina engine ya 2NZ-FE na ina CC 1297. Gari hii nimetembelea kilometa za kutosha na sasa naona imechoka sana ila bodi...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kuna taa huwa inawaka kwenye raum new model inakuwa nyekundu ni triangle katikati ina alama ya mshangao. Watu wengi wamekuwa wanapigwa hela kwa mafundi huku wengine wakisema kuwa wana wapimia na...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba kujua nin kinasababisha battery ya gari kufa mapema au nin nifanye il battery yangu idumu ni battery ya unga(dry cel) msaada
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Back
Top Bottom