JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,762
- 10,489
Sina uzoefu sana na Magari hasa ya kisasa.
Ni hivi Jilani yangu anataka kuagiza gari Japani, sasa kulingana na tulivo zoeana amekuja hapa kuniomba ushauri. Ana kiasi cha TZS 8.5 hadi 10 M. Anaomba ushauri aagize gari ya aina gani?
Iwe iko juu isiwe inaguza kwenye matuta.
Iwe na cc chini ya 1500.
Iwe na uwezo wa kwenda safari ya mbali kama bukoba.
Iwe na 4wheale
Ushauri tafadhali.