Catherini
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 390
- 148
Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio.
Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.
Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.