kigo akya Member Jan 27, 2015 42 3 Jul 7, 2016 #1 Natafuta bamper la mbele/Nose cut ya toyota cresta gx 100
WANtEd86 JF-Expert Member Dec 12, 2014 574 325 Jul 7, 2016 #2 kigo akya said: Natafuta bamper la mbele/Nose cut ya toyota cresta gx 100 Click to expand... Uko wap?
kigo akya said: Natafuta bamper la mbele/Nose cut ya toyota cresta gx 100 Click to expand... Uko wap?
M mabwiku JF-Expert Member Jun 7, 2015 447 390 Jul 8, 2016 #4 bumper la chini sio? ungekua mwanza ningekusaidia
Shuleless JF-Expert Member Aug 12, 2015 4,954 6,212 Jul 8, 2016 #5 Nenda kariakoo mtaa wa kamata. Utapata hilo bampa,kuna maduka yanauza hizo kitu.
42_007 JF-Expert Member Mar 10, 2015 1,561 824 Jul 8, 2016 #6 Nenda Tbata Befoward kwenye godown lao kama upo Dar. Tena lipo barabarani kabisa.
LEGE JF-Expert Member Oct 14, 2011 5,122 9,204 Jul 10, 2016 #7 nose cut ya gx100 lipo piga namba hii mkuu 0718005229
Msingida JF-Expert Member Dec 1, 2010 10,082 11,467 Jan 8, 2017 #8 LEGE said: nose cut ya gx100 lipo piga namba hii mkuu 0718005229 Click to expand... Mkuu,nose cut ya pajero jr bei gani?
LEGE said: nose cut ya gx100 lipo piga namba hii mkuu 0718005229 Click to expand... Mkuu,nose cut ya pajero jr bei gani?