Ushauri Wapendwa

Designer_3434

JF-Expert Member
Dec 4, 2015
4,863
3,895
Nataka kununua Gari ya Matumizi ya Nyumbani, kwa hiyo Naomba ushauri wenu, Ipi Gari nzuri kwa Matumizi ya Nyumbani, Bajeti yangu Mlioni Ishilini tu?
 
Kwa matumizi ya nyumbani kama unafamilia hapana kwa sababu zile siti 2 za nyuma hua ni ndogo watoto/ndugu hawatakaa confortable.
 
hapa lazima ujiulize maswali kadhaa. unataka gari ya aina gani, uwezo wa gari, nafasi, upatikanaji wa spare, fuel consumption, na hata ukubwa wa familia yako. Kama familia ni kubwa kuna gari kama ISIS, NISSAN SERENA, NOAH, IPSUM, WISH.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom