Hizi ndo kazi za warning light kwenye raum new model

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
Kuna taa huwa inawaka kwenye raum new model inakuwa nyekundu ni triangle katikati ina alama ya mshangao. Watu wengi wamekuwa wanapigwa hela kwa mafundi huku wengine wakisema kuwa wana wapimia na mashine na wengine mafundi wanahangaika nayo sana.

Taa hiyo huwa inawaka kama utawasha gari au endesha gari na hujafunga mkanda au huja funga vizuri milango. Au kuna mlango upo wazi haujafunga vizuri na hasa milango ya nyuma ile ya kufunga automatic hasa mlango wa upande wa kushoto ndio huwa unasumbua sanaaa.

Taa hiyo ikiwaka asilimia 99% huwa inakuwa milango haijafungwa vizuri au dereva hujavaa mkanda.
 
Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,068
2,000
kuna taa huwa inawaka kwenye raum new model inakuwa nyekundu ni triangle katikati ina alama ya mshangao.watu wengi wamekuwa wanapigwa hera kwa mafundi huku wengine wakisema kuwa wana wapimia na mashine na wengine mafundi wanahangaika nayo sana.

taa hiyo huwa inawaka kama utawasha gari au endesha gari na hujafunga mkanda au huja funga vizuri milango .au kuna mlango upo wazi haujafunga vizuri na hasa milango ya nyuma ile ya kufunga automatic hasa mlango wa upande wa kushoto ndio huwa unasumbua sanaaa.

taa hiyo ikiwaka asilimia 99% huwa inakuwa milango haijafungwa vizuri au dereva hujavaa mkanda.
Yani raum na hyo milango yake ya nyuma kama hiace ni shida!kuna jamaa yangu nae kasumbuka sn na ishu hyo
 
Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,085
2,000
kuna taa huwa inawaka kwenye raum new model inakuwa nyekundu ni triangle katikati ina alama ya mshangao.watu wengi wamekuwa wanapigwa hera kwa mafundi huku wengine wakisema kuwa wana wapimia na mashine na wengine mafundi wanahangaika nayo sana.

taa hiyo huwa inawaka kama utawasha gari au endesha gari na hujafunga mkanda au huja funga vizuri milango .au kuna mlango upo wazi haujafunga vizuri na hasa milango ya nyuma ile ya kufunga automatic hasa mlango wa upande wa kushoto ndio huwa unasumbua sanaaa.

taa hiyo ikiwaka asilimia 99% huwa inakuwa milango haijafungwa vizuri au dereva hujavaa mkanda.
Mkuu kwa kujazia hiyo taa inawaka kama kuna tatizo lolote lile (malfunction) ikiwa ni pamoja na usalama wako wa gari kama kutokufunga mkanda/milango..

Chakufanya kama kwenye dashboard hakuna alama yoyote ya tatizo nenda kafanye "diagnosis" kwa wataalamu wenye "data" ya gari husika halafu rekebisha, hiyo taa (triangle) haipaswi kuwaka..
 
2hery

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,550
2,000
Nilikuta na dada mmoja kasimamisha gari kisa hiyo taa.... Nikamwangalia kisha ikacheka... Nilichofanya ni kumfunga mkanda na kumwambia nenda kapumzike..
 
ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
1,331
2,000
Hizi raum zina mbwembwe sana kuna moja inawaka taa na kupiga alarm kama hujavaa mkanda. kuna jinsi yoyote ya kukazima haka ka alarm mana ni shida sasa.
 
think center

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
477
1,000
Sasa tatizo nn hapo si ufunge mkanda au.. Na kuhusu mlango, unataka kutembea mlango ukiwa wazi au..
 
Lipyotoo

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
478
500
Hizi raum zina mbwembwe sana kuna moja inawaka taa na kupiga alarm kama hujavaa mkanda. kuna jinsi yoyote ya kukazima haka ka alarm mana ni shida sasa.
Very simple hiyo taa kwanza ni WARNING MARK kama gari lina dosari yoyote au dereva hakuzingatia masharti hasa ya kuvaa mkanda, kufunga milango nk. Hata hivyo kuhusu kuwaka kutokana na kusahau kufunga mkanda, kwanza kipekee naona inasaidia kukumbusha, maana udereva ni pamoja na kufunga mkanda. Lakini kama huipendi kabisa, hapo chini ya seat ya dereva kuna boya la umeme, unachofanya una DISCONNECT(tenganisha) basi haitawaka kwa sababu ya dereva kujisahau kuvaa mkanda, bali itwaka tu endapo milango haijafungwa vizuri, au gari lina hitilafu(malfunction)
 
Lipyotoo

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
478
500
Hizi raum zina mbwembwe sana kuna moja inawaka taa na kupiga alarm kama hujavaa mkanda. kuna jinsi yoyote ya kukazima haka ka alarm mana ni shida sasa.
Very simple hiyo taa kwanza ni WARNING SIGN/MARK kama gari lina dosari yoyote au dereva hakuzingatia masharti hasa ya kuvaa mkanda, kufunga milango nk. Hata hivyo kuhusu kuwaka kutokana na kusahau kufunga mkanda, kwanza kipekee naona inasaidia kukumbusha, maana udereva ni pamoja na kufunga mkanda. Lakini kama huipendi kabisa, hapo chini ya seat ya dereva kuna boya la umeme, unachofanya una DISCONNECT(tenganisha) basi haitawaka kwa sababu ya dereva kujisahau kuvaa mkanda, bali itawaka tu endapo milango haijafungwa vizuri, au gari lina hitilafu(malfunction)
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
mkuu sio mbwem
Hizi raum zina mbwembwe sana kuna moja inawaka taa na kupiga alarm kama hujavaa mkanda. kuna jinsi yoyote ya kukazima haka ka alarm mana ni shida sasa.
bwe bali kuna gari nyingine ukiendesha bila kuvaa mkanda inakupigia sana kelele kadri unavyoongeza speed na zingine huwa zinaacha kubadili gear ili usikimbie speed zaidi
 
Lipyotoo

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
478
500
Kwenye hizi RAUM Model mpya kuna Button imeandikwa POLE, inafanyakaz gani?

Pili, kuna button nyingine ina scale 0,1,...5, je hii ni ya kazi gani? Nimejaribu kuitumia kuongeza au kupunguza mwanga lakini sikuona chochote kikibadilika. Mwenye ufahamu tafadhali atupe elimu kidogo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom