Msaada kwa wenye karakana za kisasa

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,625
1,619
Habari!!

Kuna machine nahitaji nitengeneze locally, hivyo basi naomba kwa ambaye mwenye karakana ya kuchomelea ya kisasa (maana machine yenyewe inahitaji vifaa vya kisasa) au kama una mfahamu mwenye karakana, au kama Utakuwa unamfahamu mtu wa sido, tafadhali niunganishe naye.

Nina technical drawing Na video clips za hiyo machine.

Naomba tuwasiliane kwa 0656142433, pia WhatsApp natumia namba hiyo hiyo.

Ahsante!!!
===========================
Update:

Pia kama una karakana, basi nipatie mawasiliano yako ili nikutumie baadhi ya clip ili uwezo kuona kama utaweza Fanya hiyo kazi!!

Ahsanteni
 
mkuu ungefafanua kidogo au ungeongeza nyama habari yako ungepata msaada kama kipi kinachokushawishi kuwa ni lazima ifanyike kwenye karakana ya kisasa?? karakana ya kisasa kwako ni ipi au yenye vitu vipi au yenye sifa gani?? inawezekana humu kuna watu wanamiliki karakana ambayo inaweza kufanya hiyo shughuli yako lakini hapo kwenye ya kisasa ndio kuna mtihani
 
Ahsante... Ngoja nijaribu Ku edit huu uzi
 
Back
Top Bottom