Nina toyota brevis, vvti engine hivi karibuni,nikiwa nakanyaga mafuta niongeze speed ikakata mafuta na kuzimika ghafla nikaipaki pembeni, nikaiwasha ikawaka, ikatembea vzr tatizo unakuja pale ninapokanyaga mafuta kwa nguvu mathalani ninapotaka kuongeza speed kuanzia 80kph na kuendelea,inakata mafuta tatizo linaweza kua nini