Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Habari zenu wana Jamii wenzangu, i hope mko poa....
Kuna hili jambo huwa linanishangaza sana hasa katika hiz daladala zetu hapa Dar es salaam...utakuta Traffic Police anamsimamisha dereva wa daladala na anamuuliza kwanin hujafunga mkanda....okay sikatai ni swali zuri na inaonesha kabisa ni jinsi gani Police anajali usalama wa dereva huyu.
Swali linakuja hapa....maisha na uhai wa dereva pekee ni muhimu sana kuliko abiria waliopo pale mbele? .....nauliza hiv kwa sababu hakuna daladala ambazo zina mikanda ya abiria hasa wale wanaokaa mbele na dereva (chunguza DCM zote za Ubungo, Kawe, Makumbusho) hazina mikanda.
Hii ina maana kuwa ikitokea ajali basi atapona dereva pekee na abiria walipo pale mbele watajigonga kwenye windshield na kuumia coz hawajavaa mikanda.
Ombi langu au wazo langu ni hili.....kama polisi wa usalama barabarani wanajua umuhimu wa mkanda wa usalama kwa dereva basi umuhimu huo usiishe kwa dereva tu bali waangalie ni jinsi gani ya kuwalinda na abiria waliopo mbele.