Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Habari zenu wana Jf wa jukwaa hili ,
Awali ya yote ningependa kupongeza juhudi na jitihada za mwasisi wa Jf pamoja na uongozi kwa ujumla kwa kutuweka pamoja kwa mambo yenye tija kwetu sote, ahsanteni sana ,
Waheshimiwa ninamiliki mashine ya Jd ambayo niliinunua mwaka 2012 ikiwa mpya kabisa na nimeitumia kwa muda mrefu mpaka hivi sasa nimeshaifanyia marekebisho kadha wa kadha lakini tatizo ambalo linanitia hasara ni la kumaliza oil , Juzi nimeweka oil lita 3 leo napima oil hamna kitu,
Mwenye kuelewa tatizo sahihi anisaidie ili niepukane na hasara ya kununua oil kila wakati inapoisha,