Habari wanajamiiforums!
Naomba ushauri nina gari aina ya Toyota Belta ambayo ina engine ya 2NZ-FE na ina CC 1297. Gari hii nimetembelea kilometa za kutosha na sasa naona imechoka sana ila bodi lake lipo poa ile mbaya. Nimefikiria nibadili injini yake niweke injini nyingine used ambayo ni 1NZ-FE ambayo ina cc 1497 ili kuipa gari nguvu Zaidi maana shughuli zangu zinatumia sana gari.
Je hili linawezekana?
Wapi Dar naweza pata injini nzuri na ya uhakika na angalau yenye waranti ya miezi kadhaa
Je inaweza gharimu TZS ngapi kwa kazi yote hii
Shukrani kwa wote watakaonisaidia kwa ushauri